Wednesday, March 31, 2010

MR PRESIDENT HII NDIO RIPOTI YETU MKUU


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bwana Ludovick Utouh akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti za ukaguzi wa matumizi ya Fedha za Serikali na Taasisi zake ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Kushoto ni Msaidizi wa mkaguzi mkuu Bwana Atanas Tarimo(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment