Thursday, August 12, 2010

MASOUD UNAREJESHA FOMU TUNATAKA MABADILIKO YA KWELI





Masoud sanani chief editor wa busines times akirejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo nchini taswa uchaguzi utakafanyika wikiendi hii anaepokea fomu ni mwandishi wa habari maelezo

je Taswa inahitaji nini kwa sasa katika swala zima la kuandika habari za michezo

No comments:

Post a Comment