Tuesday, August 17, 2010

UTARATIBU WA MECHI SIMBA NA YANGA



Mechi itachezwa kwa dakika tisini asipopatikana mshindi katika dakika tisini tutapiga penarty kubadilisha wachezaji ni makubaliano kati ya makocha wa timu na shilikisho la kandanda iliwaweke idadi halisi ya wachezaji kwa timu zote
AFISA HABARI WA TFF FROLIAN RWEYEMAMU KAIJAGE

No comments:

Post a Comment