Tuesday, September 7, 2010

MTAFUTE UWANJA MWISHO ALHAMISI MCHANA



Klabu ya Dar es salaam young african imepewa siku mbili kutafuta uwanja wa nyumbani baada ya maombi ya uwanja wa wa taifa kwani itakuwa ndoto kwao kupata uwanja huo wa taifa na imeambiwa siku ya mwisho ni alhamisi saa tisa mchana

No comments:

Post a Comment