Tuesday, October 19, 2010

Santigo bernabeu patakavyo chimbika


Hiki ndcho kiwanja cha santiago bernabeu ambacho kitaandaa mpambano wa mabingwa mara tisa wa kombe la ulaya yaani uefa champions league nines times kizungu nazungumzia real madrid the galacticos la miamba ya italia mabingwa mara saba the rossoneri watoto wa luis berlusconi nazungumzia acionasional de milano wakiongozwa na massimiliano alergr dhidi special one jose mourinho katika michuano ya vilabu bingwa barani ulya ambapo fainali itachezwa katika uwanja wa emirates uingereza katika jiji la london Tazama ATN

No comments:

Post a Comment