Tuesday, November 23, 2010

TFF YAONGEZA IDARA ZAKE


pichani ni kaimu katibu mkuu wa tff sunday kayuni

Shirikisho la kandanda la tanzania limeongeza idara zake baada ya kutanuka kwa ofisi ambapo mwanzoni ilikuwa na idara tatu idara ya ufundi ,utawala na idara ya fedha kwa sasa idara hiyo mpya itakuwa ya mashindano ambaya itakuwa chini ya saad kaweemba

No comments:

Post a Comment