Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini, akiongea na wanafunzi wa shule ya Utemini Sekondari skuli,akiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii ili mkoa huo uweze kutoa wasomi wa kutosha hapo baadae,pia alitoa motisha kwa mwanafunzi ambaye atafaulu vizuri masomo ya kidato cha sita atamgharamia kumpeleka Chuo Kikuu kwa gharama zake mwenyewe.
Sunday, February 7, 2010
mo anapoandaa mazingira ya kurudi bungeni
Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini, akiongea na wanafunzi wa shule ya Utemini Sekondari skuli,akiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii ili mkoa huo uweze kutoa wasomi wa kutosha hapo baadae,pia alitoa motisha kwa mwanafunzi ambaye atafaulu vizuri masomo ya kidato cha sita atamgharamia kumpeleka Chuo Kikuu kwa gharama zake mwenyewe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment