Wednesday, September 29, 2010

KIKOSI NI HIKI SIJABADILI KITU


kocha mkuu wa timu ya soka ya tanzania jan b polusen ameweka waizn kikosi kitakacho ingia kambini kesho huku baadhi ya wachezaji wakiongezwa akiwemo kipa wa majimaji ya said mohamed
ammbacho atachuja na kubakiza kumi nane siku ya jumanne
SHABAN KADO,JUMA KASEJA, SAID MOHAMED HAO NI MAKIPA CB AGGREY MORIS,ERASTO NYONI,NDIRI HAROUB, SHADRAK NSAJIGWA,HARUNA SHAMTE SALMIN KASIM, STEPHANO MWASIKA, MD HENRY JOSEPH,SHABAN NDITI, NURDIN BAKARI, JABIRI AZIZ SELEMAN KASSIM, IDRISA RAJABU ,SALUM MCHAKU,STKER, DAANY MRWANDA,MOHAMED BANKA, JONH BOKO MUSA HASAN MGOSI,

No comments:

Post a Comment