Wednesday, September 22, 2010

TUTASHINDANA KWA KILA KITU



Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake flaviana daudi anasema kuwa wao watakwenda kushindana sio kushiliki wala kujifunza kwani timu zote zina wachezaji wenye miguu minne kwa hiyo hakuna cha kuogopa majina ambayo timu pinzani wanayo za ya timu za wanaume na sio wanawake tutshinda tu

No comments:

Post a Comment