Thursday, October 7, 2010

AHSANTE NMB KUIPIGA JEKI STARS KAYUNI



Nahodha wa timu ya taifa ya tanzania shadrack akipokea jezi kutoka kwa emiriun rwejuna afisa masoko wa NMB ambapo imetoa shilingi milioni kumi wakijiaandaa na mchezo wa kufuzu katika michuano ya mataifa ya afrika huko guinne
na gambia

No comments:

Post a Comment