Tuesday, October 5, 2010

VIINGILIO MSIJARI VITAKUWA POA



Rais wa shilikisho la kandanda la tanzania amesema kuwa viingilio vitakuwa vya wastani ambavyokila mtuu ataweza kuvimudu kwani hazitakuwa sawa na vya brazil vitakuwa tofauti kila mmoja ataweza kunua muda mwingine huwa tunaweka vile kutokana na gharama za mechi
kulia kwa tenga ni mkurugenzi wa ufundi wa tff sunday kayuni anayeoneka mkono ni mesmaji wa tff frolian kaijage

No comments:

Post a Comment