Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 23 inatarajia kuagwa kesho
(Aprili 14 mwaka huu) saa 7 mchana katika ofisi za TFF kabla ya kuondoka saa
mbili baadaye kwenda Kampala, Uganda kwa ajili ya mechi ya mchujo ya michezo ya
Afrika (All Africa Games) itakayochezwa Jumamosi (Aprili 16 mwaka huu)
(Aprili 14 mwaka huu) saa 7 mchana katika ofisi za TFF kabla ya kuondoka saa
mbili baadaye kwenda Kampala, Uganda kwa ajili ya mechi ya mchujo ya michezo ya
Afrika (All Africa Games) itakayochezwa Jumamosi (Aprili 16 mwaka huu)

ukiongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar
(ZFA), Hafidh Ally Tahir.

22 ambazo iliahidiwa endapo ingeitoa Cameroon kwenye michuano ya Olimpiki. Fedha
hizo ziliahidiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya
Simba Trailers.

wakati Azim Dewji ambaye ni Mkurugenzi wa Simba Trailers alikabidhi sh. milioni
12. Kati ya fedha hizo ilizotoa Simba Trailers, sh. milioni 10 ni kwa ajili ya
timu, sh. milioni mbili kwa ajili ya kipa aliyeokoa penalti na wafungaji wa
mabao mawili ya U23.
U23 imepangiwa kucheza na Nigeria katika raundi ya pili ya michuano ya Olimpiki
ambapo mechi ya kwanza itachezwa jijini Dar es Salaam kati ya Juni 4 na 5 mwaka
huu.

Luhende, Babu Ally, Shomari Kapombe, Jabir Aziz, Salum Aboubakar, Thomas
Ulimwengu, Mbwana Samata, Kigi Makasi, Gharib Mussa, Mbwana Bakari, Idrisa
Abdulrahim, Innocent Wambura, Khamis Mcha, Awadh Issa, Amour Suleiman, Himid
Mao, Mrisho Ngassa na Salum Telela.
No comments:
Post a Comment