Thursday, September 17, 2009

HII NDIO ADHA WANAYOPATA WASAFIRI PALE MAMBO YANAPOKWENDA NDIVYO SIVYO


Wasafiri wanaotumia usafiri wa shirika la Reli nchini (TRC) wakiwa wamekwama katika stesheni ya mkoa wa Morogoro wakati wakisubiria usafiri wa kwenda mikoa ya bara baada ya treni ya mizigo kuanguka katika Kijiji cha Msua na Kwala mkoani Pwani treni hiyo ilikuwa likitokea Dar es Salaam.Picha na Juma Mtanda

No comments:

Post a Comment