Wednesday, September 23, 2009

UBINADAMU KAZI KWELI MNAFANYA NAMNA HII NDUGUZE HUU SIO UNGWANA





Mwili
wa Mariam ukiwa umelazwa kwenye mifuko ya plastic mara baada ya
kunuofolewa baadhi ya viungo na wauaji wasio na chembe ya huruma.





Mama mwenye ulemavu wa ngozi albino akiwa na watoto wake ambao hawana ulemavu wa ngozi.








Rais wa taasisi ya maalbino duniani (UTSS) Peter Ash, akionyesha picha ya mtoto albino aliye uliwa na watu wasiojulikana mkoani Mwanza wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Picha na Said Powa




Msanii wa kikundi cha sanaa cha watu wenye ulemavu cha Upendo cha Magomeni Kondoa jijini Dar es Salaam, Khamis Daudi (Akashi) akionyesha hisia katika igizo linalotoa ujumbe wa kukomesha vitendo vya ukatili dhidi ya Albino, wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani iliofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Said Powa






Watoto wa Familia moja kutoka kushoto Manyasi, Mariam na Mluge wakiwa katika picha ya pamoja kabla Maria hajauliwa na watu wasio na huruma kwa binadamu wenzao mkoani Mwanza.


 


No comments:

Post a Comment