Friday, October 9, 2009

HIVI NDIVYO PRESIDENT JK ALIVYO TIMIZA MIAKA 59

Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na wanawe Rashid Kikwete Chodo (aliyemshika mkono),Khalfan Kikwete, ( wapili kushoto) na Lulu Khalfan Kikwete ambaye ni mtoto wa mdogo wake. Aliyekaa pembeni nyuma ya Rais akiangalia ni Mama Salma Kikwete aliyeandaa hafla ya kifamilia ya kumpongeza Rais kwa kutimiza umri wa miaka 59 jana.
Rais Kikwete akizingumza na aliyekuwa Rais wa Ireland Mary Robinson ambaye sasa ni Rais wa Taasisi ya Realizing Rights, wakati Robinson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar


Rais Kikwete akimlisha keki Mama Salma Kikwete katika hafla fupi ya kifamilia iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni kusherekea miaka 59 ya kuzaliwa kwake. (Picha na Freddy Maro)




No comments:

Post a Comment