Friday, May 28, 2010

Rais Azindua ujenzi wa Barabara ya Tanga-Horohoro!!


Rais Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto), Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel Yohannes(kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt(wapili) wakifunua kitambaa kwenye jiwe la Msingi kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Tanga-Horohoro

No comments:

Post a Comment