Tuesday, July 20, 2010

MIKE BARASA YUKO WAPI



Afisa habari wa klabu ya soka simba sports Cliford mario Ndimbo alipokuwa anataja kikosi cha klabu ya soka simba ya jijini dar es salaam

lakini kubwa zaidi ni kutokuwemo kwa jina la mchezaji raia ya wa kenya Mike Barasa ya la msingi kama jina hili lingekuwemo simba ingekuwa iko nje ya utaratibu wa tff wa kusajiri wachezaji wa kigeni aidha kwa upande kipa wa maarufu kama Dida akufika katika usajiri kwa maana hiyo amejiondoa yeye mwenyewe
Chini ni Majina ya wachezaji wa simba



1  JUMA KASEJA JUMA
2       ALLY MUSTAPHA
3     RAMADHAN SHAMTE
4         SALUM KANONI
5       JUMA JABU
6      AMIR MAFTA
7    KELVIN YONDAN
8       JUMA NYOSO
9    JOSEPH OWINO
10     DAUDI MAFTAR
11   MOHAMED BANKA
12   ABDUKHALIM HAMOUD
13     JERRY SANTO
14    HILLARY ECHESA
15      AMRI KIEMBA
16      SHIJA MKINA
17     NICO NYAGAWA
18    RASHID GUMBO
19    UHURU SULEMANI
20    GILLA SALUM AZIZ
21     MUSSA HASSANI MGOSI
22     EMANUEL OKWI
23      PATRICK OCHAN
24    MBWANA SAMATTA
25     MOHAMED KIJUSO
26       KELVIN HAULE


NEW PLAYERS ;-
- AMIR MAFTAH
- ABDULKHALM HAMOUD
- SHIJA MKINA
- PATRICK OCHAN
- KELVIN HAULE
- RASHID GUMBO
- MBWANA SAMATTA

No comments:

Post a Comment