Tuesday, July 20, 2010

NI TWIGA STARS VS BANYANA BANYANA



Afisa ahabari wa shikilisho la soka tanzania frorian kaijage  akisisitiza jambo katika ofisi za tff zilipo karume jijini dar es salaam

Timu ya soka ya taifa ya wanawake twig itakwaana na timu ya taifa ya wanawake ya afrika kusin i katika kujiandaa na michuano ya mataifa ya afrika kwa upande wa wanawake .Mchezo huo utafanyika tarehe 24 jumamosi huko afrika kusini ambapo timu ya twiga stars inatarajia kusafiri ijumaa tarehe ishirini tatu.



No comments:

Post a Comment