Thursday, September 3, 2009

MICHEZO KWA PICHA NA SHABAN MPALULE

Mcheza gofu Sarah Denis akijiandaa kupiga mpira wakati wa michuano ya Zain Lugalo Fiddle yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanayodhaminiwa na Zain na kukutanisha wanagofu mbalimbali wa jijini Dar es Salaam .
Mcheza gofu Angelo Mandolf akijiandaa kupiga mpira wakati wa michuano ya Zain Lugalo Fiddle yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya> gofu vya TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanayodhaminiwa na Zain na kukutanisha wanagofu mbalimbali wa jijini Dar es Salaam

Brigedia Generali mstaafu, Ernest Galinoma (kushoto) akimkabidhi mcheza Chediel Msechu, T-shirt ya Zain baada ya kuibuka mmoja wa washindi wa mashindano ya gofu ya Zain Lugalo Fiddle yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yanayodhaminiwa na Zain na kukutanisha wanagofu mbalimbali wa jijini Dar es Salaam .



No comments:

Post a Comment