Thursday, September 17, 2009

MISS TEMEKE INAPOCHUKUA NAFASI


Msimamizi wa Mgahawa wa Best Bite, Tawakal Hilika,(kulia) na Mkuu wa Mahusiano wa Miss UtaliiTemeke,Thomas Bangu, wakiteta jambo na baadhi ya wshiriki wa Miss Utalii Temeke 2009 katikamgahawa wa Best Bite, Kinondoni Dar es Salaam jana, wakati warembo hao walipokuwa na Mazungumzona Mfadhili Mkuu wa Shindano Hilo, Mkurugenzi wa Aurora Security,Ally Aurora.

No comments:

Post a Comment