Beki wa timu ya Azam Ibrahim Shikanda (kushoto) akichuana na mchezaji wa JKT Ruvu, Damasi Makwaya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Timu hizo zilifungana bao 1-1.
Mchezaji wa simba musa hasan mgosi alipokuwa akimkaba mchezaji wa moro united katika mfululizo wa ligi kuu soka tanzania bara Vodacom
Simba 2 - 1 Moro United
Wafungaji
Danny Mrwanda dk 23 Yona Ndabila dk 57
Joseph Owini dk 84
Mtibwa 3 - 1 Tanzania Prison
Saidi Rasgudu Ramadhani Katabalala
Soud Abdallah
Hussein Jabu
Toto African 0 - 0 Majimaji
Kagera Suger 0 - 2 Yanga
Mrisho Ngasa dk 17
No comments:
Post a Comment