Msanii wa kughani mashairi Mrisho Mpoto (Mjomba) kushoto akiimba wakati wa utambulisho wa onesho la HIP HOP litakalofanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Diamond Jublie (kulia) ni Msanii Ismail Shabani, wasanii wengine watakao watakao panda jukwaani ni pamoja na TMK Wanaume Halisi, Prof Jay, Fid Q, Best Friends Dance Show.(Picha na Rajabu Mhamila
No comments:
Post a Comment