HABARIZA LEO NDUGU ZANGU NAOMBA RADHI KWA MUDA AMBAO SIKU WEZA KUCHAPISHA HABARI MPYA KWANI NILIKUWA NIKIUGULIWA NA MZAZI WANGU WA KIUME SASA NASHUKURU MUNGU MAMBO YANAKWENDA VIZURI BILA SHAKA TUTARUDI KWENYE SPEED YETU YA MWANZO KADRI HARI ITAKAVYOKUWA INAENDELEA VIZURI NASHUKURU SANA KUTEMBELEA PAGE MIMI NI LISUNGU DAVIDI KAMBONA AHSANTENI
No comments:
Post a Comment