Friday, October 9, 2009

POLE KAKA


pichani ni mfugaji Noah Lotokoduaki mkazi wa eneo la Kiranyi wilayani Arumeru akiwa amebeba majani kwa ajili ya ng'ombe wake, wilaya ya Arumeru mkoani Arusha hivi sasa inakabiliwa na ukame.Picha ya Mussa Juma

No comments:

Post a Comment