Friday, July 16, 2010

HATARI JAMANI BARABARA YA MWENYEWE



Unaiona gari hiyo inayokwenda wanapotoka wenzake kisheria kavunja yeye kwani sio upande wake lakini kama asikwenda huko na hisi dereva angeitwa marehemu kwani ukingalia vizuri kwa reli mbele kule mwenye njia alikuwa anakatisha kisheria yeye ndiye mwenye haki unaweza kuomba mkanda uludishwe nyuma ili uishe salama treniiiiii

No comments:

Post a Comment