Thursday, July 8, 2010

NAVUTIWA NA PICHA



Mshambuliaji wa uholanzi Robin Van Persie anasema kuwa anavutiwa sana na picha ya diego armando maradona ya mwaka 1986 aliponyanyua kikombe cha dunia kwa nchi yake kwani anaamini kua inaweza kumpa hamasa ya ushindi siku ya jumapili dhidi ya uispania

No comments:

Post a Comment