Wednesday, July 14, 2010

Thierry Henry Ajiunga New York Red Bulls




Mchezaji wa zamani wa kalbu ya soka arsenal thiery henry (32) amejiunga na timu ya soka  ya New York Red Bull  henry amesaiani mkataba wa muda mrefu na mfupi na hatakuwemo katika kikso kitachicheza na TottenHam hotspurs  "watu wanafikiri nakwenda kwa sababu ya maonyesho  itakuwa kama mapumziko lakini kwa sasa aitakuwa kwa mapunziko wakati huu amsesma maneneo hayo kwenye tv ya website ya klabu hiyo kuwa anakwenda kushindana
Henry was released by Barcelona last month after scoring just four goals last season.
mchezaji aliachwa na klabu ya Barca mwezi uliopita






No comments:

Post a Comment