
Angalia mguu wa kushoto kwenye picha hiyohapo juuu waweza kuhisi maumivu aliyoyapata mchezaji mchezaji huyo anataka kushitakiwa kisa wanasema kajiangusha nadhani wamesahau penalty ya Ryan babel alivyo fanya dhidi ya arsenal kwenye klabu bingwa barani ulaya
No comments:
Post a Comment