JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM KWA KUSHIRIKIANA NA MIKOA MINGINE YA TANZANIA. MPAKA SASA LIMEFANIKIWA KUKATAMA MAJAMBAZI 13 WALIOHUSIKA KATIKA TUKIO LA KUTUMIA SILAHA PAMOJA NA MABOMU KATIKA BENKI YA NMB TEMEKE. KATIKA MAJINA HAYO MTUHUMIWA MUSSA S/O ABDALLAH WAKATI WA HARAKATI ZA UKAMATAJI KATI YA JESHI LA POLISI NA MAJAMBAZI.
AIDHA JAMBAZI MUSSA ABDALLAH ALIKAMATWA NA BASTOLA AINA YA WALTER AMBAYO WALIITUMIA KUPAMBANA NA ASKARI POLISI KABLA AJAKAMATWA. MAJINA YAO NI KAMA UTAKAVYOYAONA HAPO CHINI (@) ITASIMAMA KAMA a .k. a
1. MUSSA S/O ABDALLAH, MPEMBA, 3OYRS, MKAZI WA YOMBO BUZA,OBADIA GABRIEL WAFARIKI KATIKA MAPAMBANO NA JESHI LA POLISI WAKATI WA UKAMATAJI.
2. ANTHONY S/O JEREMIA SOLIA @ HAMISI MATONYA, 3O YRS, MKAZI WA DODOMA.
3. OBADIA S/O GABRIEL JOHN MWAKIHOLA @ KABURU, 23YRS,
4. ISSACK S/O SWAI @ BUSHOKE @ FATAKI, 23YRS,, MKAZI WA MTAA WA DAR ES SALAAM MOSHI.
5. DEOGRATIAS S/O EMMANUEL MASAWE, 30 YRS, DEREVA, MCHAGA, MKAZI WA MTAA WA MBUYUNI MOSHI.
6. SALUM S/O YASINI SULE @ JIBABA, 28YRS,MKAZI WA DSM.
7. YUSUPH S/O RAJABU, 44YRS, MKAZI WA MBAGALA MWANAMTOTI.
8. BONIFACE S/O JOSEPH, 34YRS, MKAZI WA YOMBO DOVYA.
9. JAPO S/O SALIMU, 27YRS, MKAZI WA YOMBO DOVYA
10. SAIDI S/O HAMISI, 30YRS, DEREVA TAX TANDIKA, MKAZI WA TANDIKA
11. MT. 55935 SGT MATHEW, 42YRS, WA JWTZ MGULANI.MKAZI WA KIBAHA KWA MATHIAS.
PAMOJA NA KUKAMATWA KWA MAJAMBAZI HAYO PIA POLISI WAMEFANIKIWA KUKAMATA MAGARI MANANE (8) YALIYOKUWA YAKITUMIWA NA MAJAMBAZI HAO.
UCHUNGUZI WA AWALI UNAONYESHA KUWA MAGARI YAOTE 8) KABLA YA KUTUMIKA NA MAJAMABZI YALIPORWA JIJINI DAR ES SALAAM. MAGARI MATANO (5) AINA YA SALOON YAMEKAMATIWA DODOMA NA MAGARI MENGINE YAMEKAMATWA MOSHI. MAWILI KATI YA HAYO YAPO KITUONI HAPA POLISI KATI.
MAJINA YA WATUHUMIWA YATAKAYOTAJWA NI KUMI NA MOJA (11) . MTUHUMIWA WA KUMI NA MBILI (12) NA KUMI NA TATU (13) HAYAJATAJWA KWA SABABU ZA UPELELEZI PAMOJA NA KUSUBIRI KUTAMBULIWA KATIKA GWARIDE LA UTAMBULISHO.
AIDHA MTUHUMIWA WA KUMI NA MBILI (12) YUPO MKOANI ARUSHA NA NI JAMBAZI HATARI ALIYEKUWA AKITAFUTWA MUDA MREFU. A MTUHUMIWA ALIYE KIGOMA NDIYE ALIYEHUSIKA NA MABOMU YALIYOTUMIKA KATIKA TUKIO LA NMB JINA LAKE LIMEHIFADHIWA MPAKA HAPO UPELELEZI UTAKAPOKAMILIKA
KUNDI HILI LA MAJAMBAZI LIMEKUWA LIKIFANYA UHALIFU KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM, MWANZA, ARUSHA PAMOJA NA KIGOMA.
PAMOJA NA MAFANIKO HAYA, MSAKO BADO UNAENDELEA KUWATAFUTA WENGINE AMBAO WALISHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE. PIA JESHI LA POLISI LINATOA SHUKRANI KWA WANANCHI WOTE WALIYOSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI KUFANIKISHA, KUTOA TAARIFA ZA MAJAMBAZI.
S. H.KOVA – SACP
KAMANDA WA POLISI
KANDA MAALUM YA POLISI
DAR ES SALAAM

No comments:
Post a Comment