Saturday, August 22, 2009

KOMBE LA DUNIA LINAKUJA NOVEMBER MWAKA HUU

Kombe la Dunia lina kuja kwa mara ya pili Nchini mara ya kwanza lilipokuja mwaka 2005 Mgeni rasmi alikuwa ni rais wa Jamhuri ya muungano wa tanzania Mh Dk Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na ndipo alipotoa ofa ya kuletwa kwa kocha wa kigeni na kusema yeye atamlipa kocha, je Endapo atakuwa tena mgeni Rasmi Mh JK Je atatoa Ahadi Gani

No comments:

Post a Comment