Pasalace Kibatala Akizindua vipeperushi vitakavyotoa Elimu ya saratani ya kibofu cha mkojo ambapo vinazungumzia jinsi ugonjwa huo unavyopatikana matibabu yake na jisnsi ya kutambua ugonjwa huo pembeni yake ni moja kati ya watu waliowahi kuugua ugonjwa huo Emanuel job kandusi.
Picha hii inaonyesha jinsi ugojwa huo unavyoweza kuharibu mfumo mzima wa kibofu cha mkojo
Dr pasalace L kibatala akiwa ameshikilia Vipeperushi vinavyotoa Elimu kuhusu Ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo Wengine ni Emanuel Job katikati na wa mwisho ni Dr jerome Mkiramwe
vipeperushi hivyo vitasambazwa nchi nzima hili kila mwananchi aweze kusoma na kupata Elimu kuhusu ugonjwa wa saratani ya kibofu mkojo unakuwaje

No comments:
Post a Comment