PRESIDENT JK KUFUNGUA MAZOEZI YA KIJESHI ARUSHA /TANGA
Captain wa jeshi la wananchiMbota MwikwabeNaibu Mkurugenzi wa habari wa JW akifafanua jambo kuhusu mazoezi ambayo yatajumuisha nchi za afrika mashariki katika mazoezi ya kijeshi yatakayo anza kuanzania tar 3 hadi 26 2009 zoezi hilo litaitwa mlima Kilimanjaro na litafungwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame vilevile watu mashuhuri watatembelea mazoezi hayo
No comments:
Post a Comment