Tuesday, August 24, 2010

MAFAHARI WAWILI WANAPOKAA PAMOJA


Klabu za simba na yanga zimekubaliana kutochukua mapato ya mechi ya ngao ya hisani iliyochezwa katika uwanja wa taifa kuashilia kuanza kwa ligi kwa kutokubaliana na makato ambayo yamekatwa na tff waanasema ukitazama gharama za mchezo huo ambao zinakatwa na tff ni kubwa kulinganisha na gharama za mchezo zinazotumiwa na vilabu hivyo kulinganisha na maandalizi ya mchezo husika.
TFF wanachukua makato yanayofikia asilimia kumi na tano wakati vilabu vinachukua asilimia kumi nane tff ilipaswa kujumuisha gharama za mchezo zinazotumiwa na timu husika.
TRA imekuwa ikikata VAT katika mgao wa Jumla kitu ambacho ni kinyume kwakuwa Tff ndio waliopaswa kukatwa pesa kutoka kwenye mapato ya asilimia zao kwakuwa wao ndio waliosajiriwa na tra na sio vilabu.kwani vyenyewe haviusiki.
Hizo ni kauli za cliford Mario ndimbo msemaji wa simba na Luis sendeu msemaji wa klabu yanga

wakiweka bayana juu ya makato ambayo wanakatwa na shiliksho la soka kandanda tanzania TFF

No comments:

Post a Comment