Tuesday, August 31, 2010

Traore Aenda Juve kwa mkopo


 

Juventus  imethibitisha kumsainisha beki wa klabu ya arsenal Armand Traore kwa mkataba wa muda mrefu kwa ada ya pauni lakini tano .kijana huyu mwenye miaka ishirini amekuwa arsenal tangu 2006 amekuwabeki huyo wa kushoto amekuwakijitahidi kuwemo katika kikosi cha kwanza .

No comments:

Post a Comment