Mwenyekiti wa klabu ya simba ismail aden rage amesema kutokana matengenezo ya uwanja wa uhuru wameamua kutumia uwanja ccm kirumba mwanza kama uwanja wake wa nyumbani aidha mwenyekiti huyo ametoa tamko kwa gazeti la mwanaspot kuomba radhi kwa kuandika habari ambazo ni za uongo na uchochezi kuwa klabu ya simba inafanya mambo kienyeji haifuati mfumo wa kisasa na mambo mengine ambayo aden akautaka kusema kutokana na heshima ya vyombo vya habari kwani sio maneno mazuri amaeawapa siku kumi na nne wawe wameshaomba radhi.
No comments:
Post a Comment