Friday, August 27, 2010

TUTAMPA JK ZAWADI KWA KUTHAMINI MICHEZO



Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo tanzania taswa juma pinto pichani aliyevalia shati ya njano amesema kuwa wanaandaa mpango wa kumtuku tuzo rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania jakaya mrisho kikwete heshima ya kuthamini michezo katika uingozi wake katika miaka mitano iliyopita baada kusaidia kwa asilimilia kubwa.

No comments:

Post a Comment