Tuesday, August 31, 2010

MKWASA AFAFANUA KUHUSU POSHO



Kocha mkuu wa timu ya soka taifa ya wanawake twiga stars amesema madai ya posho ambayo walikuwa wakidai wameshapatiwa na bado mambo madogo madogo ambayo yanakalimilishwa kutoka wizarani ambayo yatakamilika hivi karibuni aidha timu ya taifa itaingia kambini hivi karibuni kujiiandaa na michuano ya mataifa ya afrika yatakayofanyika nchi afrika kusini japokuwa makundi bado hayapangwa mpaka wakati huu

No comments:

Post a Comment