Tuesday, November 3, 2009

DULA CERAGEM

Kwa wale ndugu zangu wenye magonjwa ya kupooza ganzi zisizo kwisha pengine na vitambi ambavyo havina ulazima ukifika mtaa wa muhonda kariakoo utakuta kitu kinaitwa ceragem ni kifaa kinafanya masage ya mwili akina madhara ya aina yeyote ile imesaidiaa wengi ambao wana matatizo hasa wale walioshindwa kutembea sasa wanatembea tena hakuna kupooza pichani ni mfano huko korea ya kusini kitu kama hicho kipo kariakoo mtaa wa muonda namba tisa

na hii ndio mashine yenyewe verysimple to use

No comments:

Post a Comment