Friday, April 23, 2010

TUKIENDA HIVI MCHEZO UTAKUWA



KLABU mpya ya Mchezo wa Ngumi ya Ashanti inayokuja kwa kasi kuleta mabadiliko ya mchezo huo imeandaa mchezo wa kujipima nguvu na klabu zingine za mchezo huo Ijumaa katika ukumbi wa Max Ilala Bungoni Dar es Salaam.

Kocha mkuu wa klabu hiyo Rajabu Mhamila 'Super D' amesema Dar es Salaam leo kuwa klabu hiyo yenye mabondia 16 itapigana na klabu zingine na itambulike kuwa Ashanti ni miongoni mwa klabu zinazoendeleza mchezo wa ngumi Tanzania.

Amesema kabla ya kushiriki michezo ya klabu bingwa inayotarajia kufanyika mapema mwaka huu ambapo pia klabu zote zipo katika maandalizi ya kushiliki mashindano hayo,

Super D alimesema katika kujipima huko kutakuwa na Klabu za Mtakuja ya Vingunguti, Sifa ya Manzese na Mkumwena ya Buguruni, na wenyeji Ashanti ambapo kila klabu itawakilishwa na mabondia wake aliwataja mambondia watakaopanda na klabu wanazotoka

KGS (LIGHT FLY WEIGHT)
1. RAJABU HAMISI ‘ROJA MJESHI’ (ASHANTI) Vs HUSSEIN SAID (SIFA)
2. BADRU HASSAN ‘MUHINDI MWEUSI’ (ASHANTI) Vs SALUMU IDDI (MTAKUJA)
3. SHABAN MADILU ‘TYSON’ (ASHANTI) Vs ASHRAF JUMA (MTAKUJA)
4. HASSAN SAID (ASHANTI) Vs SAID ALLY (MTAKUJA)
54 KGS (BANTAM WEIGHT)
1. JOSEPH RICHARD ‘MNYAMA’ (ASHANTI) Vs HUSSEIN KASSIM (SIFA)
2. HUSSEIN ABDALLAH (MTAKUJA) Vs HASSAN SHARI (SIFA)
3. MATIKU MAGESA (ASHANTI) Vs OMAR ABDALLAH (SIFA)
4. HASEN SAID ‘MNGONI’ (ASHANTI) Vs RASHID ABDALLAH (MTAKUJA)
5. IDDI RAMADHAN (ASHANTI) Vs KULWA KILIANI (MTAKUJA)
64 KGS (LIGHT WEIGHT)
1.MOHAMMED RAJAB ‘BONGE’ (ASHANTI) Vs IDDI PIALALI (MTAKUJA)
2. ABJERINA KADRI (ASHANTI) Vs HAMISI ABDI (ASHANTI)
3. JUMA CHAMBALA (ASHANTI) Vs ABDALLAH MSHINDO (MTAKUJA)
4. OMAR KANESA (MTAKUJA) Vs KOBA KITEA (MTAKUJA)
5. SAKO MWAISEJE (ASHANTI) Vs SHARIF MZEZELE (SIFA)
6. HANS JOHN (SIFA) Vs MOHAMMED MUSSA (MTAKUJA)
RAJABU MHAMILA “Super D” TEAM COACH
ASHANTI BOXING CLUB
kwa hisani ya fullshanwe.blogspot.com

No comments:

Post a Comment