Wednesday, May 26, 2010

MUHARIRI WA HABARI ZA BURUDANI GAZETI LA MWANANCHI AINGIZWA MJINI!

Frank Mdimu akiwa na best yake.
Habari kwa hisani ya
http://www.ladyjaydee.blogsspot.com/
Henry Mdimu (kushoto), ambae ni muhariri wa habari za burudani katika gazeti la Mwananchi
Usiku wa jumanne alikumbwa na zahama ya kuibiwa Wallet yake, alipokuwa kwenye Party ya kuwapongeza African Stars Band Twanga Pepeta waliochukua tunzo 3 za Kili.
Wallet hiyo aina ya Versace ambayo ni pure leather ya rangi ya BrownNdani ilikuwa na Kitambulisho cha kazini, Kadi 2 za Bank, kadi ya reward ya Gold (Zain)Kitambulisho cha kupigia kura, na kadi ya Bima ya Afya.
Pia alikuwa amepata token ya kwenda kuangalai robo fainali za kombe la Dunia kutoka kwa Osmund Shaba, ambaye amepata kazi Marekani kwakuona kuwa hatakuwepo akampa ofa hiyo Mdimu.
Atakaebahatika kuviona vitu hivyo anaombwa amjulishe kupiti simu namba 0787 000 880
Anatanguliza shukrani

No comments:

Post a Comment