Tuesday, May 25, 2010

Rais kikwete alipokutana na wawekezaji wa mbolea!!


RAIS JAKAYA KIKWETE (KULIA) AKISALIMIANA NA WAWEKEZAJI WA MBOLEA KUTOKA MAREKANI PAMOJA NA KUZUNGUMZA NAO JANA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANA JIONI. (MWENYE SUTI NYEUSI)NI MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MIRACLE CORNERS OF THE WORLD,Inc Bw. Edward Bergman, na mwengine ni Rais wa Kampuni ya MAGNUM PRODUCING,LP Bw,Avinash Ahuja.
(Picha na MWANAKOMBO JUMAA-MAELEZO).



Hapa Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na wawekezaji hao Ikulu

No comments:

Post a Comment