Tuesday, November 23, 2010

AFISA HABARI ,KATIBU MKU KUPATIKANA DECEMBER 15


jumla ya watu sitni na nne wamejitokeza kuomba nafasi ya ukatibu mku wa tff na waliomba kwa upande wa afsa habari ni arobaini na nne ambapo wanatarjiwa kupatikana december kumi na tano mwaka baada ya kufanya mchujo katika kamati kuu

No comments:

Post a Comment