Pichani ni kocha mkuu wa timu ya Dar es salaam all stars akifafanua kuhusu mechi alipokuwa akiongea jijini da r es salaam hii leo pembeni yake exavie mhagama ambaye ni mtendaji wa kampuni hiyo na kulian kabisa ni musa hasan mgozi nahaodha wa dar all stars vilevile jery tegete ni nahodha wa timu hiyo lakini hayiupo pichani.
Kampuni ya vanedrick ya jijini dar es salaam inatarajia kuandaa mchezo wa kimataifa dhidi katika ya mastaa wa virabu vya Tanzania bara dhidi ya timu ya taifa ya Zanzibar katika kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania kuchaguliwa kwake na wabunge wote wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mechezo utakaochezwa katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaaaaam
No comments:
Post a Comment