Mwenyekiti wa chama pool ISACK CHOGOCHO katikati na katibu mkuu AMOS KAFWINGA pamoja na mweka hazina wa chama hicho kulia wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Baaada ya kufanya vibaya kwenye michuano ya dunia iliyofanyika nchini UFARANSA katika mchezo wa POOL TABLE,chama cha mchezo huo nchini kimesema kuwa kimeweza kupata uzoefu na ujuzi ambao watautumia katika mashindano mengine hapa nchini .Licha ya kufanya vibaya katika mashindano hayo lakini timu imepanda chati ya DUNIA.
No comments:
Post a Comment