Monday, November 15, 2010

NI JUA LIMEPATWA AU MWEZI SIO MTAALAMU JIBU WEWE MSOMAJI



Hii imetokea leo jijini dar es salaam majira kama saa sita na saa saba pale hari ya jua ilikutwa namna hii sijafamu maana mimi na geografia kidogo ni kama mwizi na polisi wataalamu wa tatusaidia inaitwaje hii

No comments:

Post a Comment