Wednesday, September 2, 2009

PILOT WA KWANZA WA KIKE JWTZ

Rubani wa kwanza wa kike Tanzania kwa ndege za kivita za Jeshi la Wananchi Tanzania, Luteni Rose Katila ni mmoja wa marubani waliofanya mambo makubwa sana katika maonyesho ya miaka 45 ya Jeshi la Wananchi Tanzania Yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment