Muigizaji Maarufu nchini Single Mtambalike Rich Rich akizungumza na waandishi wa habari waandamizi wa magazeti nchini Saidi Mwishehe mwenye karatasi na Piter Mwenda wa gazeti la Majira single mtambalike ni moja kati ya wasanii mwanzo katika tasnia ya filamu tanzania wakitisha na mambo hayo zamani pale ITV sasa wanajikita zaidi katika binafsi namaanisha kuwa wanauza kazi zao wenyewe kwa kutumia dvd na vcd ambapo kazi zao zimegubikwa na maharamia wanaiba sana
No comments:
Post a Comment