Monday, August 2, 2010

(NABWELA) NIMERUDI



Kocha Mkuu wa Timu ya Simba ya Dar es Salaam, Patrick Phiri (katikati) akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo mchana kwa ajili ya kuinoa timu hiyo inayojiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao, ambapo kocha huyo atakua na kazi ya ziada kukiandaa kikosi hicho kwa ajili ya mchezo na watani wao wa jadi Dar Young African katika mchezo wa Ngao ya Hisani (Jamii) unaotarajia kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa Agosti 8 mwaka huu. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Geofrey Kaburu.

SUFIANMAFOTO.BLOGSPOT UNDERSTAND

No comments:

Post a Comment