Monday, November 1, 2010

LIGI YA MABINGWA LEO




michauno ya ligi ya mabingwa barani barani ulaya inaendelea leo katika viwanja mbalimbali lakini shughuri kubwa na watu wengi watakuwa wakielekeza macho yao katika uwanja wa white heart lane ambapo totenham hotrspurs watakuwa wakirejeana na internazionale milan nezazuri mechi ya kwanza inter ilishinda mabao manne kwa matatu mechi inayotarajiwa kuanza saa nne usiku kwa saa za afrika mashariki



Jumanne, 2 November 2010

Uefa Champions League

Rubin Kazan v Panathinaikos

Benfica v Lyon

Bursaspor v Man Utd

FC Copenhagen v Barcelona

Hapoel Tel-Aviv v Schalke 04

Tottenham v Inter Milan

Valencia v Rangers

Werder Bremen v FC Twente




No comments:

Post a Comment