Thursday, November 4, 2010

SIMBA YAZINDUKA YATAKA KUJENGA UWANJA WAKE


Katika ni mwenyekiti wa simba na mbunge wa jimbo la tabora mjini ismail aden rage kulia kwake ni Francis waya mwakilishi wa kampuni Gidas na kushoto ni evoudios mtawala katibu mkuu wa simba

Klabu ya soka ya simba sport ya jijini dar es salaa inatarajia kujenga uwanja wake binafsi mara baada ya mwenyekiti wa klabu hiyo kukiri kuwa kutumia viwanja ambavyo siyo vyakwao wanatumia gharama nyingi zaidi kiwanja hicho kitakacho ingiza watu 30000 kitajengwa katika eneo la klabu hiyo lilopo bunju nje kidogo ya jiji la dar es salaam ambapo pia utazungukwa na maduka kama kiwanja cha santiago bernnabeu cha real madrdi nchini hispania aidha kalbu hiyo imeshaiteua klabu ya giadas ya uturuki kujenga uwanja huo kwa bei nafuu simba imeshafanya makubaliano na ambayo yaliwakilishwa na geofrey nyange enginear ,francis waya mbunifu na evoudius mtawala mwanasheria ilikusaidia kwa haraka uanzaji kazi wa uwanja huo

No comments:

Post a Comment